Wataalamu waanza uchunguzi ajali ya helikopta Mlima Kilimanjaro

Bado chanzo cha ajali hakijabainika na kwamba wataalamu kutoka mamlaka husika, yaani TCAA na TAA, wako katika eneo la tukio kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo na mazingira ya ajali hiyo.