Majeruhi ajali ya kanisa waeleza mkasa mzima

Akizungumza kuhusu ajali hiyo leo, Alhamisi Desemba 25, 2025, mmoja wa majeruhi, Neema Bwanga (24), amesema kuwa tukio lilianza kutokana na upepo mkali ulioangusha vikombe na mabati.