ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kassalla, ametoa wito kwa Watanzania kujenga tabia ya uungwana katika ushindani wa kisiasa ili usiwe chanzo cha kuvunja agano la amani kati yao na Mwenyezi Mungu. The post Askofu Kassalla: Msivunje agano la amani first appeared on HabariLeo .