Diwani wa Kata ya Ng’apa wilayani Lindi mkoani Lindi, Mhe. Issa Ngasha, amefanya mkutano maalum wa kuwashukuru wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata hiyo kwa ushiriki wao katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, uliowezesha chama hicho kupata ushindi mkubwa katika nafasi za Udiwani, Ubunge na Urais. Katika mkutano huo, Mhe. Ngasha ametoa misaada […] The post DIWANI ISSA NGASHA AAHIDI MAENDELEO, AGAWA MISAADA KWA WANANCHI NG’APA appeared first on Jambo TV Online .