WAZAZI na walezi wametakiwa kuwa makini wanapowaruhusu watoto wao kwenda baharini kusherehekea, hususan katika kipindi cha sikukuu, ili kuepusha matukio ya ajali na madhara yanayoweza kuepukika. The post Wazazi waaswa kuongeza uangalizi kwa watoto Ufukweni first appeared on HabariLeo .