SIKUKUU ya Krismasi imeendelea kuwa chanzo cha fursa kwa wananchi, hususan wale wanaojishughulisha na huduma katika maeneo ya burudani. Wilayani Kigamboni jijini Dar es Salaam, mpigapicha maarufu anayejulikana kama Rasta amesema sikukuu hiyo imemfungulia fursa ya kuongeza kipato tofauti na siku za kawaida. The post Krismasi yamfungulia fursa Rasta wa Kigamboni first appeared on HabariLeo .