PWANI: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameziagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha inaondoa mgawo wa maji kwa wakazi wa Dar es Salaam na Pwani. Hatua hiyo ni baada ya kuongezeka kwa kiwango cha maji katika Mto Ruvu kufuatia mvua zilizonyesha katika safu za milima ya Uluguru mkoani Morogoro. … The post Mgao wa maji Dar, Pwani sasa basi first appeared on HabariLeo .