Afariki ajalini Tanga akielekea Moshi, wanne wajeruhiwa

Kwa mujibu wa polisi, uchunguzi wa awali unaonesha chanzo cha ajali kuwa ni uzembe wa dereva wa Toyota Runx aliyefanya jaribio la kuyapita magari mengine.