Viongozi wa Dini watakiwa kupinga chuki

WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa viongozi wa dini kuendelea kushirikiana na serikali katika kutoa elimu ya umoja na amani, kupinga chuki, migawanyiko na vitendo vyovyote vinavyoweza kuvuruga mshikamano wa taifa. The post Viongozi wa Dini watakiwa kupinga chuki first appeared on HabariLeo .