WAKATI waumini wa dini ya Kikristo nchini na duniani wakiendelea kusherehekea Sikukuu ya Krismasi ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, watoto 13 wamezaliwa nchini katika hospitali mbalimbali. The post Watoto 13 wazaliwa Krismasi Dar first appeared on HabariLeo .