TPDC yaendelea mchakato bomba la gesi Kinyerezi -Chalinze

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linaendelea na mchakato wa kutekeleza mradi wa Bomba la Gesi kutoka Kinyerezi kwenda Chalinze utakaogharimu zaidi ya Sh bilioni 2.3. The post TPDC yaendelea mchakato bomba la gesi Kinyerezi -Chalinze first appeared on HabariLeo .