TMDA yaimarisha udhibiti wa dawa za kulevya

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), imetoa mafunzo maalumu kwa waganga wafawidhi, wafamasia na wakaguzi wa dawa kutoka wilaya nne za Mkoa wa Tanga. Meneja wa TMDA Kanda ya Mashariki. Keddy Manga, amesema lengo la mafunzo hayo ni kudhibiti matumizi holela ya dawa za tiba zenye asili ya kulevya ili kuzuia uraibu miongoni mwa vijana. The post TMDA yaimarisha udhibiti wa dawa za kulevya first appeared on HabariLeo .