MRADI wa Eco-School ni muhimu katika kuimarisha elimu ya mazingira na maendeleo endelevu kwa wanafunzi, jamii na taifa kwa ujumla. Mradi huu unawawezesha watoto kujifunza kwa vitendo, kukuza uongozi na kushiriki moja kwa moja katika uhifadhi wa mazingira na rasilimali asilia. The post Watoto wajifunze umuhimu wa mazingira first appeared on HabariLeo .