Marekani imefanya mashambulizi ya anga dhidi ya wapiganaji wa Islamic State (ISIS) katika kaskazini-magharibi mwa Nigeria, hatua ambayo Rais Donald Trump amesema imelenga kudhoofisha uwezo wa kundi hilo lililotuhumiwa kufanya mashambulizi dhidi ya raia. Kupitia jukwaa lake la kijamii la Truth Social, Rais Trump alisema mashambulizi hayo “yamewalenga kwa usahihi” wapiganaji wa ISIS na kusababisha […] The post Marekani yafanya mashambulizi ya anga dhidi ya kundi la Islamic State nchini Nigeria – Video appeared first on Global Publishers .