Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Harmonize, ameibua shangwe kubwa baada ya kutangaza wazi kuwa amerejea katika uhusiano na Kajala Frida usiku wa kuamkia leo Desemba 26, 2026 wakati akifanya sho0 Zanzibar. Tukio hilo lililovutia mashabiki wengi, Harmonize alimuita Kajala jukwaani na kumtuza maneno ya upendo, akisisitiza kuwa: “Kajala ndiye mwanamke mrembo zaidi kuwahi kumuona duniani.” […] The post Wamerudiana! Harmonize Amshangaza Kajala Jukwaani, Zanzibar Yazizima appeared first on Global Publishers .