Unashauriwa kula vyakula vya baharini angalau mara mbili kwa wiki. Samaki wa mafuta wana manufaa mwilini kutokana na sababu kuwa wana viwango vya juu vya asidi za mafuta ya omega-3.