Mil 150/- kuleta maendeleo pembezoni mwa Longido

ARUSHA: SHIRIKA Lisilo la Kiserikali la Pingo’s Forum linapanga kutumia zaidi ya Sh milioni 150 kwa ajili ya miradi ya maendeleo pembezoni mwa Wilaya ya Longido mkoani Arusha ikiwemo mradi wa maji na ujenzi wa nyumba za walimu katika wilaya hiyo. Hayo yalisemwa na Kiaro Tendeu ambaye ni Mratibu wa Pingo’s Forum katika kuimarisha huduma … The post Mil 150/- kuleta maendeleo pembezoni mwa Longido first appeared on HabariLeo .