ARUSHA: NAIBU Waziri wa Madini, Dk Steven Kiruswa amesema wananchi wote waliojenga maeneo ambayo barabara ya Siha wilayani Hai mkoani Kilimanjaro hadi Longido mkoani Arusha itakapopita watalipwa fidia kupisha ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami. Dk Kiruswa alisema hayo akiw kata ya Tingatinga wilayani Longido na kuongeza kuwa serikali iko katika hatua ya tathmini … The post Waliojenga maeneo ya barabara Siha kulipwa fidia first appeared on HabariLeo .