Ugumu uliopo matumizi ya tiketi za mtandao

Kwa mujibu wa sheria, kila basi linapaswa kuwa na nakala tatu za manifesto ya abiria, moja hubaki kituo cha kuanzia safari, nyingine hupelekwa polisi na ya tatu hubaki ndani ya basi.