Ifahamu historia ya ‘Boxing Day’

Kila ifikapo Desemba 26, dunia husherehekea Sikukuu ya ‘Boxing Day’ ambayo mara nyingi huenda sambamba na kutoa na kupokea zawadi.