Kikosi cha Timu ya soka ya Taifa Taifa Stars kinachoshiriki Michuano ya AFCON 2025 huko Morocco, kimefanya Mazoezi kuelekea mechi yake ijayo kesho Desemba 27 dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ Stars itakutana na Ndege hao wa Uganda maarufu kama ‘Korongo Mwenye Tai’ (The Cranes), katika mechi muhimu ambayo inapaswa kushinda ili […] The post Taifa Stars Yajiandaa Kuikabili Uganda ‘The Cranes’ Michuano ya AFCON 2025 appeared first on Global Publishers .