Marekani yashambulia Nigeria

Serikali ya Marekani, imefanya mashambulizi kwa kundi la kigaidi la Islamic State (IS) katika eneo la Kaskazini Magharibi mwa Nigeria.