Airtel Yaendeleo Kupanua Wigo wa Huduma za Mawasiliano kwa Kujenga Minara 5

Mikoa ya Kigoma, Singida, Kilimanjaro, Geita na Morogoro. 22 Disemba, 2025. Airtel Tanzania imezindua rasmi minara 5 katika maeneo mbalimbali ikiwemo Kigoma, Singida, Kilimanjaro, Geita na Morogoro. Minara hii ni sehemu ya mkakati wa airtel wa kupanua wigo na kuweza kuwafikia watanzania wengi waishio maeneo ya mijini na vijijini. Nae Meneja kanda wa Kigoma, Bw. […] The post Airtel Yaendeleo Kupanua Wigo wa Huduma za Mawasiliano kwa Kujenga Minara 5 appeared first on Global Publishers .