Wigo wa Huduma za Mawasiliano  Minara 5 yajengwa

Tanzania imezindua rasmi minara 5 katika maeneo mbalimbali ikiwemo Kigoma, Singida, Kilimanjaro, Geita na Morogoro. Minara hii ni sehemu ya mkakati wa airtel wa kupanua wigo na kuweza kuwafikia watanzania wengi waishio maeneo ya mijini na vijijini. Nae Meneja kanda wa Kigoma, Bw. Issack Kijuu, alieleza kuwa Wakati Mwingine wanakijiji walikuwa wanapata shida kuwasiliana na …