Serikali Shinyanga yaahidi kusaidia watoto yatima

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita ametoa ahadi kwa watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu kuwanunulia sare za shule na kuwalipia bima ya afya ili waweze kupata matibabu. Mhita ametoa Ahadi hiyo wakati wa kushiriki chakula cha pamoja na watoto hao kusherehekea sikukuu ya krisimasi akiwa na viongozi mbalimbali wa serikali pamoja na … The post Serikali Shinyanga yaahidi kusaidia watoto yatima first appeared on HabariLeo .