Kampuni ya ya Airtel Tanzania imewataka wanavyuo nchini kutumia fursa ya kimtandao katika kuwasaidia kuboresha taaluma zao pindi wawapo vyuoni. Hayo yamebainisha mapema hii Leo Disemba 12, 2025, na Meneja wa Airtel Staff Saccos, Gasper Swai, katika hafla fupi katika Chuo Cha biashara (CBE) kilichopo jijini dar es salaam, ambapo amesema lengo kuu la hafla […] The post appeared first on Global Publishers .