RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa hakuna neema kubwa zaidi ya amani. Amewahimiza waumini pamoja na wananchi kwa ujumla kuendelea kuilinda na kuidumisha neema hiyo kwa maslahi ya Taifa. Dk Mwinyi ameyasema hayo leo, Desemba 26, 2025, aliposhiriki Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti … The post Mwinyi: Hakuna neema kubwa zaidi ya amani first appeared on HabariLeo .