Madereva wanne wanaswa kwa ulevi sikukuu

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia madereva wanne waliokutwa wakiendesha vyombo vya moto wakiwa wamelewa wakati wa sikukuu ya Krismasi.