Huu ndio mzigo wa wajawazito inaoubeba hospitali ya Wilaya Jitimai

Kwa mujibu wa hospitali hiyo, idadi ya wajawazito hubadilika kulingana na msimu, ambapo kila mwezi inapokea zaidi ya wajawazito 700. Katika mkesha wa Krismasi, watoto 20 walizaliwa, wakiwemo wake 12 na waume nane.