Kwa mujibu wataalamu hao, mazingira hayo yamesababisha majengo na miradi mingi kujengwa chini ya kiwango, huku lawama nyingi zikielekezwa kwa wakandarasi, ilhali tatizo linatokana na mfumo mzima wa usimamizi katika sekta ya ujenzi.nyika chini ya kiwango huku wakieleza tofauti.