Serikali yataka ugawaji vizimba Kariakoo uzingatie bei halisia

Uongozi wa soko hilo, umesema Januari mwakani ndipo soko hilo litafunguliwa na kuanza kufanya kazi.