Fahamu Kwa Nini Madaktari Wanauzungumzia Kitunguu Saumu?

High blood pressure (hypertension) ni sababu kubwa ya magonjwa ya moyo, kiharusi na uharibifu wa figo. Kwa muda mrefu, tiba asili zimekuwa zikisisitiza umuhimu wa lishe na mimea tiba katika kuzuia na kudhibiti shinikizo la damu  na miongoni mwa mimea iliyopewa utafiti mkubwa zaidi ni kitunguu saumu. Zaidi ya maelfu ya tafiti zimechunguza uwezo wa […] The post Fahamu Kwa Nini Madaktari Wanauzungumzia Kitunguu Saumu? appeared first on Global Publishers .