Tanzania yavunja rekodi utalii 2025

SEKTA ya utalii Tanzania imepata ongezeko la asilimia tisa ya idadi ya watalii katika kipindi cha miezi 11 ya kwanza ya mwaka 2025, ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2024. Idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka zaidi baada ya kukamilika kwa takwimu za Desemba, kwani msimu wa sikukuu huwa na ongezeko la safari za kimataifa na za … The post Tanzania yavunja rekodi utalii 2025 first appeared on HabariLeo .