MWAKA 2025 unamalizika na hivi karibuni tunaukaribisha Mwaka Mpya wa 2026. Ni desturi ya wengi kuwa na shamrashamra za hapa na pale kuukaribisha Mwaka Mpya, siku ya mkesha ni Desemba 31 saa 6:00 usiku kwa watu hupiga madebe na kupeana hongera kwa kumaliza mwaka. Kwenye michezo, mwaka 2025 ulikuwa wa mafanikio makubwa kwa kufanya vizuri, … The post Mwaka 2026 uwe wa mafanikio michezoni first appeared on HabariLeo .