Simbachawene ahimiza amani, upendo kwa jamii

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ametoa mwito kwa Watanzania kulinda amani na kudumisha upendo, kwani vimeleta mwanga ili wanadamu waishi kwa furaha. Simbachawene aliyasema hayo katika ibada ya Krismasi katika Kanisa Katoliki Parokia ya Pwaga wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma. “Rai yangu kwa Watanzania wenzangu wote katika kuadhimisha Krismasi, napenda niseme amani na upendo, … The post Simbachawene ahimiza amani, upendo kwa jamii first appeared on HabariLeo .