KOICA, wadau wa kilimo wataja vipaumbele vinne 2026

Hayo yamejiri leo katika warsha Mbali na mambo mengine, imezungumzia utekelezaji wa Mradi wa Mahindi Songwe unaofadhiliwa na Koica.