SMZ kutumia Sh145.9 bilioni ujenzi wa nyumba Chumbuni

Ujenzi wa nyumba 3,000 za makazi bora unatajwa kuleta mabadiliko kwa wananchi wa Zanzibar, ikiwa ni hatua ya kuendeleza makazi bora.