MBEYA: Hatua ya Bodi ya Maji Bonde la Rufiji kupitia Mradi wa NBS–USANGU kuanza urejeshaji wa mito iliyopoteza mwelekeo wake wa asili imeanza kuandika ukurasa mpya wa matumaini kwa wananchi wa Bonde la Usangu, wilayani Mbarali mkoani Mbeya. Kwa miaka mingi, mito kadhaa katika bonde hilo ilikuwa imejaa mchanga, kupoteza mikondo yake na mingine kukauka … The post Urejeshaji mito bonde la Usangu waamsha tumaini jipya first appeared on HabariLeo .