Beki wa Arsenal Riccardo Calafiori amekosa mechi dhidi ya Brighton ugani Emirates baada ya kupata jeraha akifanya mazoezi kabla ya mpambano huo.
Muingereza Myles Lewis-Skelly mwenye umri wa miaka 19 amechukua nafasi yake kwenye mchuano huo.
#WeekendWarmUp #KandandaNiSisi