Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva Uwimpue Bonheur (33), raia wa Rwanda na mkazi wa Kigali, aliyekuwa akiendesha gari la mizigo lenye namba za usajili RAI 878 G, aina ya HOWO, akitokea Kigali nchini Rwanda kuelekea Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuendesha gari akiwa katika hali ya ulevi. Kwa mujibu wa taarifa […] The post DEREVA WA RWANDA ATIWA MBARONI MORO KWA KUENDESHA AKIWA MLEVI appeared first on Jambo TV Online .