Ngajilo Bonanza 2025 yazinduliwa mjini Iringa

IRINGA: Bonanza kubwa la michezo lililoandaliwa na Mbunge wa Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, lijulikanalo kama Ngajilo Bonanza 2025, limezinduliwa rasmi leo katika Uwanja wa Samora, Manispaa ya Iringa, huku likitarajiwa kuendelea hadi Desemba 31 mwaka huu. Bonanza hilo linajumuisha michezo zaidi ya 20 tofauti, ikiwemo mpira wa miguu, rede, bao, draft, riadha, masumbwi, kukimbia kwa … The post Ngajilo Bonanza 2025 yazinduliwa mjini Iringa first appeared on HabariLeo .