FAMILIA NI MSINGI WA HAKI NA USTAWI, TUZILINDE- MHE. MTAMBULE

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar Es Salaam Mhe. Saad Ahmed Mtambule amesisitiza Waislamu na Watanzania wote kwa Ujumla kurejea katika misingi na maadili ya Kitanzania kwa kuimarisha familia na kulea Vijana katika maadili na utamaduni wa Kitanzania. Mhe. Mrambule amebainisha hayo leo Jumamosi Disemba 27, 2025 wakati wa kongamano la dini Jijini Dar […] The post FAMILIA NI MSINGI WA HAKI NA USTAWI, TUZILINDE- MHE. MTAMBULE appeared first on Jambo TV Online .