Jamii, walezi na wazazi nchini Tanzania wametakiwa kuhakikisha wanawalea watoto katika misingi ya upendo, amani, kufanya kazi na kuhakikisha wanakuwa na mchango katika Taifa kama sehemu ya kuimarisha amani na mshikamano wa Jamii na Taifa kwa ujumla. Wito umetolewa leo Jumamosi Disemba 27, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar Es Salaam Mhe. […] The post TULEE VIJANA KATIKA MISINGI YA HAKI, UPENDO NA KUPENDA KAZI- DC MTAMBULE appeared first on Jambo TV Online .