Serikali ya Somalia imeikosoa vikali hatua ya Israel ya kuitambua rasmi Somaliland, eneo lililojitenga na Somalia kama taifa huru.