Diwani ashauri malezi bora

ARUSHA: DIWANI wa Viti Maalum Tarafa ya Suye mkoani Arusha, Michelle Mrema, amewataka wanawake nchini kuendelea kuwa walezi wa amani,uvumilivu na mshikamano, akisisitiza kuwa misingi hiyo ni muhimu katika kuwalea watoto watakaokuja kuwa walinzi wa amani ya taifa. Mrema ametoa rai hiyo wakati wa hafla fupi ya kuwashukuru Wanawake wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) … The post Diwani ashauri malezi bora first appeared on HabariLeo .