Myanmar yafanya uchaguzi, lakini…

Myanmar imefanya uchaguzi wake wa kwanza tangu jeshi lilipompindua madarakani aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Aung San Suu Kyi, mwaka 2021.