DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, ACP Yustino Mgonja kutumia utaalamu na timu yake kuwakamata mara moja kundi la watu waliofanya mauaji ya mwananchi Mzee Salehe Idd Salehe. Salehe ambaye ni mkazi wa Mtaa wa Zavala Kata ya Buyuni … The post Mpogolo: Wahusika mauaji ya mzee Salehe wakamatwe first appeared on HabariLeo .