Fanya haya matarajio ya ndoa yanapoyeyuka

Ni muhimu kujua ni nini cha kufanya wakati matarajio ya ndoa yanapoyeyuka, ili kuokoa uhusiano na kuhakikisha kuwa wanandoa wanapata amani na furaha tena.