Siku tatu baada ya ajali iliyotokea mkoani Tanga na kusababisha vifo vya watu watano, nyingine imetokea mkoani Dodoma, ambako mmoja amepoteza maisha na wengine 20 kujeruhiwa.