Tanzania yaongoza kuuza bidhaa zake Uganda

Tanzania imeendelea kuwa kinara wa mauzo ya bidhaa zake nchini Uganda, ikifikisha thamani ya Dola za Marekani 2.26 bilioni (zaidi ya Sh5.58 trilioni) katika miezi 10 ya kwanza ya mwaka 2025.